Matatizo ya uzazi huweza kusababishwa na pande zote mbili, Mwanamume ama Mwanamke.Kwa upnade wa mwanaume zipo sababu nyingi lakini moja wapo ni hii ya kutokuwa na idadi ya kutosha ya mbegu za kiume tena zenye afya.Hii ni orodha iliyothibitishwa kitaalam kuweza kuongeza idadi ya mbegu za kiume.
10.Chokoleti Nyeusi (Dark Chocolate)
Kama ulikuwa ukimnunulia mpenzi wako tu sasa anza kudowea na wewe. |
9.Spinachi
Kama bado unadhan spinachi ni chakula cha kimasikini na wewe unataka uonekane ni tajiri nadhani anza kubadili mtazamo |
8.Ndizi
Kama umbo lake lilivyo..ndizi imejaa vitamin A,B1 na C vitamii hatari kabisa kwa kuzidisha idadi ya mbegu zako |
7.Karoti
Kroti kama ndizi vile imejaa vitamini A kwa wingi sana |
6.Vyakula Vyekundu
Hapa ni mfano wa Nyanya,Matikiti maji ama Zabibu zina kitu kinaitwa kitaalam lycopene kina uwezo wa kuongeza idadi ya mbegu za kiume kwa asilimia 70. |
5.Oysters (Chaza/Kombe)
Hapa ni madini ya Zinc,Magnesium n.k |
4.Nuts (Karanga,Nazi nk)
Sasa wanaokula karanga kwa wingi na nazi usiwashangae ni hakika na kweli kuwa vinaongeza sana idadi ya mbegu za kiume.Zina mafuta muhimu sana. |
3.Uyoga
2.Salmon (Aina ya samaki huyu)
1.Nyama Nyekundu
0 comments:
Post a Comment