Msanii wa Muziki wa Kizazi kipya
Khalid ametoa ukimya na kuanika kuwa alishawahi kutoka kimapezi na msanii
maarufu wa filani bi. Wema Sepetu.Akiwa Katika Kipindi kimoja wapo cha kituo
cha habari mwanamuziki TID Amefunguka Kuhusu Kutoka na Wema Sepetu...
"Nilikuwa "namdate" Wema Sepetu japo ilifikia kipindi akanitamkia kuwa Sikutaakiiii....tangu kipindi hicho nimekuwa na Wasichana wengi...Ikitokea Wema Sepetu anataka kurudi hakuna nafasi Tena"I'm occupied". Alisisitiza Mkali huyo wa kibao cha Zeze na sasa akitamba na Confidence
0 comments:
Post a Comment