Sasa ni dhahiri
kuwa milki ya Efm yatua rasmi mikononi mwa binti mrembo Elizabeth Michael almaarufu Lulu mara baada ya mmiliki wake Fransis Ciza a.k.a Dj Majay
kujihalalishia mtoto huyo kwa kumvisha pete ya uchumba hapa juzi kati kwa siri.
Lulu akionekana mwenye furaha kwa kupost picha zake katika ukurasa wake wa
Instagram ameonyesha pete hiyo huku akitoa maneno “Life is simplicity”.
Bado yetu macho kuona
nini utakuwa mwisho wa mahusiano haya hasa baada ya Lulu kuwa akitoka na
wanaume maarufu mara kwa mara bila mahusiano yao kudumu.
0 comments:
Post a Comment