Siku chache zilizopita mtandao huu uliweka habari juu
ya penzi la kusuasua kati ya Diamond na Zari. Sasa mkasa unaendelea mara baada
ya mama yeke Diamond kufuta picha zote za Zari kwenye simu yake juzi kati
kaamua ku “like” picha ya binti anaedaiwa kugawana penzi na kijana wake. Binti
huyo anaitwa Lyin.
Video queen huyo inasemekana ameingia moyoni mwa
Diamond kwa kasi ya ajabu na kutishia milki ya Zari aliyoijenga kwa gharama
kubwa. Nini mwisho wake? tutaendelea kujuzana.
0 comments:
Post a Comment