Mradi wa mabasi yaendayo kasi DART sasa
umeiva. Baada ya kufanya majaribio kwa wiki nzima kuanzina tarehe 5/5/2006 na
tarehe 6/5/2016 mabasi ya DART yatatoa huduma bure kwa wakazi wa Dar es salaam
ili wananchi waweze kupata fursa ya kupatiwa elimu juu ya matumizi ya mfumo huo
mpya wa usafirishaji na wa kisasa kabisa. Huduma hii ni maandalizi ya kuanza
kutumika kwa mfumo huo mpya kwa wakazi wa jiji.
Njia zifuatazo zitatumika
- Kimara-Kivukoni
- Kimara-Kariakoo
- Kimara-Morroco
- Morroco-Kariakoo
- Moroco-Posta
- Mbezi-Kimara
Haya ni maandalizi ya mfumo mpya
utakaozinduliwa rasmi tarehe 12/5/2016.
0 comments:
Post a Comment