Waafrika tuna vitu vingi vya kujivunia kimoja
wapo ni mavazi ya kuvutia yenye ubunifu wa tofauti. Malighafi moja wapo ambayo
asili yake ni Africa ni Kitenge. Vazi la kitenge si wengi tunapenda kutumia
lakini hakika ni vazi maridadi sana likibuniwa vizuri. Huvutia si kwa kina dada
tu hata kwa wanaume. Mara nyingi hupenda kuvaa nguo zenye malighafi za
kimagharibi lakini embu angalia hawa kina dada ndani ya vazi la kitenge. Labda
utafikiri tofauti.
- Blogger Comment
- Facebook Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments:
Post a Comment