Hii ni movie mpya kabisa iliyotolewa katikati ya mwezi
Aprili mwaka huu ikimuonyesha CIA agent Bill Pope (Ryan Reynolds) akifa wakati akisafiri kwenda kwenye eneo la
siri kwenda kukutana na muhalifu hatari mwenye uwezo wa kufyatua mizinga ya
maangamizi muda wowote atakaojisikia.
Baada ya kufa wanausalama wengine na
wataalam wa mambo ya ubongo wanachukua ubongo wa Agent Bill Pope na kuuhamishia
kwa muhalifu mwingine ambae ameamua kuacha uhalifu Jerico Stewart (Kevin Costner), ili wamtumie
kusimamisha janga kubwa lililokuwa linaikabili Marekani.
Movie hii imeongozwa na Ariel Vromen na kutengenezwa na
kampuni ya : Campbell-Grobman Films huku
watengenezaji wakiwa ni Avi Lerner, Christa Campbell, Chris and Bender. Ilizinduliwa
April 14, 2016 (Germany)
Angalia trailer yake hapa
0 comments:
Post a Comment